Tuesday, December 2, 2008

MAMBO YA KP



HATIMAYE JAMAA WAPATA ZALI LA DHAMANA

photos
[/b]MAFISADI WAPATA DHAMANA
Hatimaye Mramba na Yona wamepewa dhamana na mahakama ya Kisutu ya jijini Dar es Salaam baada ya kuwasilisha hati za mali walizonazo na kukubaliwa na Hakimu Mkazi Ezron Mwankenja.

Mramba amewasilisha hati nne zenye jumla ya shingi Bilioni 3.1 na Yona aliwasilisha hati 3 zenye jumla ya shilingi Bilioni 2.6.Je watanzania tunachezewa filamu au ndo hali halisi?