Thursday, November 27, 2008
WAHESHIMIWA WANAPOWEKWA KITIMOTO
Inavutia kuona kwamba suala zima la jina la mtu haliangaliwi katika mkono wa sheria.
Waheshimiwa hawa(DANIEL YONA na BASIL MRAMBA) wakisomewa mashtaka yao katika mahakama ya Kisutu.Picha ya juu wakielekea gereza la keko baada ya masharti ya dhamana kuwa magumu.
MWANZO MZURI KUKOMESHA UFISADI!
Japo mwanzo ni mgumu lakini tunaamini kwa jitihada hizi,Mheshimiwa RAISI anawapa matumaini watanzania waliomchagua.Tunategemea jitihada hizi hazitoishia kwa BASIL MRAMBA na DANIEL YONA tu katika suala zima la kukomesha ufisadi bali kila anayestahili kufikishwa katika mkono wa sheria na ashughulikiwe.
Hii inawapa changamoto wananchi katika suala zima la maendeleo na imani katika serikali yao.Na tuone basi hizo hela zirudishwe,isiwe ikawa janja ya nyani.
bedajunior
Hii inawapa changamoto wananchi katika suala zima la maendeleo na imani katika serikali yao.Na tuone basi hizo hela zirudishwe,isiwe ikawa janja ya nyani.
bedajunior
Subscribe to:
Posts (Atom)